Tatizo la kunyonyoka nywele limekuwa likisumbua sana watu wengi,hali ambayo imepelekea watu wengi kuishia kuvaa kofia na viremba kichawani mda wote.
Kama unasumbuluwa na tatizo la kunyonyoka nywele kichwani basi tumia dawa ifuatayo kwa ajiri ya kutibu tatizo hilo itakusaidia sana.
Mahitaji
>>Unga wa habati sauda
>>Juisi ya kachiri{komoni
>>Siki nyepesi
>>Mafuta ya zeituni
Matayarisho,
Changanya unga wa habatisauda katika mafuta ya zeituni,kisha tia ndani yake na siki nyepesi na juisi ya kachiri kisha koroga vizuri.
Matumizi,
Tumia mchanganyiko huo kusugulia kichwani wakati wa jioni unapokwenda kulala.Kabla ya kupakaa utaosha kichwa chako vizuri kwa maji na sabani.
Unaweza kutembelea mitandao yangu ya kijamii kwa ajiri ya kujifunza tiba mbalimbali kupitia Dua mbalimbali,mitishamba na matunda.
Facebook-Tiba facts
Youtube-tibafacts online tv
Instagramu-Ustadh.bashir/@tibafacts
Pia unaweza kujipatia vitabu vyangu vinavyofundisha Elimu ya tiba ukiwa nchi yoyote dunia tunakutumia kwa njia ya mtandao.
1.MAAJABU YA MITISHAMBA KATIKA KUTIBU MARADHI YA KIJINI NA UVHAWI, No.1
Kwa shilingi 7000/= za kitanzania
2.MAAJABU YA MITISHAMBA KATIKA KUTIBU MARADHI YA KIJINI NA UCHAWI,No.2
Kwa shilingi 10000/=
3.TIBA MBADALA KWA MAGINJWA YA KIBAIOLOJIA.
Kwa shilingi 10000/=
4.MAAJABU YA QUR'AN KATIKA KUTIBU MARADHI NA KUONDOSHA SHIDA MBALIMBALI.
Kwa shilingi 12000/=
5.UTUKUFU WA MAJINA 28 YA BARHATIH NA KAZI ZAKE.
Kwa shilingi 15000/=
vitabu vyote unaweza kutumiwa kwa njia ya mtandao ukiwa nchi yoyote duniani.
Wasiliana nami kwa
Sim.+255757455646
au
+255672410104
Namba zote zinapatikana whatsApp.